Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 15:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Bassi sasa mbona mnamjaribu Mungu na kuweka nira juu ya shingo za wanafunzi, ambayo baba zetu na sisi hatukuweza kuichukua.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Sasa basi, kwa nini kumjaribu Mungu kwa kuwatwika hao waumini mzigo ambao wala babu zetu, wala sisi hatukuweza kuubeba?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Sasa basi, kwa nini kumjaribu Mungu kwa kuwatwika hao waumini mzigo ambao wala babu zetu, wala sisi hatukuweza kuubeba?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Sasa basi, kwa nini kumjaribu Mungu kwa kuwatwika hao waumini mzigo ambao wala babu zetu, wala sisi hatukuweza kuubeba?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka nira shingoni mwa wanafunzi ambayo baba zetu wala sisi hatukuweza kuibeba?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Sasa basi, mbona mnataka kumjaribu Mungu kwa kuweka kongwa shingoni mwa wanafunzi ambalo baba zetu wala sisi hatukuweza kulibeba?

Tazama sura Nakili




Matendo 15:10
11 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana hufunga mizigo mizito isiyochukulika na kuwatwika watu mabegani mwao; wasitake wenyewe kuisogeza kwa kidole chao.


Yesu akamwambia. Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako.


Petro akamwambia, Hikuwaje hatta mkapatana kumjaribu Roho ya Bwana? angalia, miguu yao waliomzika mume wako ipo mlangoni, nao watakuchukua wewe nawe.


Bali sasa, mkiisha kumjua Mungu, ya nini kurejea tena kwa mafundisho ya kwanza yaliyo manyonge na yenye upungufu ambayo mnataka kuyatumikia tena.


KRISTO alitufanya huru kwa uhuru; bassi, simameni, msinaswe tena kwa kifungo cha utumwa.


hapo baba zenu waliponijaribu, wakanipima, wakaona matendo yangu miaka arubaini.


Hii ndiyo mfano wa wakati huu uliopo sasa; wakati huo sadaka na dhahihu zinatolewa, zisizoweza kumkamilisha mtu aabunduye dhamiri yake,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo