Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 14:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 Na kwa maneno haya wakawazuia makutano kwa shidda, wasiwatolee dhabihu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Ingawa walisema hivyo haikuwa rahisi kuwazuia wale watu wasiwatambikie.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuzuia umati ule wa watu kuwatolea dhabihu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Hata kwa maneno haya yote, ilikuwa vigumu kuuzuia ule umati wa watu kuwatolea dhabihu.

Tazama sura Nakili




Matendo 14:18
8 Marejeleo ya Msalaba  

Maana moyo wa watu hawa umekuwa mzito, Na kwa masikio yao hawasikii vema, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao Wakasikia kwa masikio yao, Wakafahama kwa mioyo yao, Wakaongoka, Nikawaponya.


Bassi Yesu, akitambua ya kuwa walitaka kuja kumchukua illi wamfanye mfalme, akajitenga, akaenda tena mlimani, yeye peke yake.


Illakini hakujiacha hana shahidi kwa kuwa alitenda mema akiwapeni mvua kutoka mbinguni, na nyakati za mavuno, akiwajaza mioyo yenu chakula na furaha.


Wayahudi wakalika toka Antiokia na Ikonio, wakawashawishi makutano hatta wakampiga mawe Paolo wakamhurura nje ya mji, wakidhani ya kuwa amekwisha kufa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo