Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 14:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Kuhani wa Zeu ambae hekalu lake lilikuwa mbele ya mji, akaleta ngʼombe na taji za maua hatta malangoni, akitaka kutoa dhabihu pamoja na makutano.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Naye kuhani wa hekalu la Zeu lililokuwa nje ya mji akaleta fahali na shada za maua mbele ya mlango mkuu wa mji, naye pamoja na ule umati wa watu akataka kuwatambikia mitume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Naye kuhani wa hekalu la Zeu lililokuwa nje ya mji akaleta fahali na shada za maua mbele ya mlango mkuu wa mji, naye pamoja na ule umati wa watu akataka kuwatambikia mitume.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Naye kuhani wa hekalu la Zeu lililokuwa nje ya mji akaleta fahali na shada za maua mbele ya mlango mkuu wa mji, naye pamoja na ule umati wa watu akataka kuwatambikia mitume.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa nje kidogo tu ya mji, akaleta mafahali na mashada ya maua penye lango la mji kwa sababu yeye na umati ule wa watu walitaka kuwatolea dhabihu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Kuhani wa Zeu, ambaye hekalu lake lilikuwa nje kidogo tu ya mji, akaleta mafahali na mashada ya maua penye lango la mji kwa sababu yeye na ule umati wa watu walitaka kuwatolea dhabihu.

Tazama sura Nakili

Matendo 14:13
3 Marejeleo ya Msalaba  

Petro alipokuwa akiingia, Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.

Wakamwita Barnaba, Zeu, na Paolo, Herme, kwa sababu ndiye aliyetakadamu katika kimena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo