Matendo 14:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192111 Na makutano walipoona aliyoyafanya Paolo wakapaaza sauti zao, wakisema kwa Kilukaonia, Mungu wametushukia kwa mifano ya wana Adamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Umati wa watu walipoona alichofanya Paulo, walianza kupiga kelele kwa lugha ya Kilukaonia: “Miungu imetujia katika sura za binadamu!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Umati wa watu walipoona alichofanya Paulo, walianza kupiga kelele kwa lugha ya Kilukaonia: “Miungu imetujia katika sura za binadamu!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Umati wa watu walipoona alichofanya Paulo, walianza kupiga kelele kwa lugha ya Kilukaonia: “Miungu imetujia katika sura za binadamu!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Umati ule wa watu walipoona yaliyokuwa yamefanywa na Paulo, wakapaza sauti, wakasema kwa lugha yao ya Kilikaonia, “Miungu imetushukia katika umbo la binadamu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Ule umati wa watu ulipoona yaliyokuwa yamefanywa na Paulo, wakapiga kelele kwa lugha yao ya Kilikaonia wakasema, “Miungu imetushukia katika umbo la binadamu!” Tazama sura |