Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 13:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Lakini Saul ambae ndiye Paolo, akijaa Roho Mtakatifu, akamkazia macho, akanena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Basi, Saulo ambaye aliitwa pia Paulo, akiwa amejaa Roho Mtakatifu, alimkodolea macho huyo mchawi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho wa Mungu, akamkazia macho Elima huyo mchawi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Ndipo Sauli, ambaye pia aliitwa Paulo, akiwa amejawa na Roho wa Mwenyezi Mungu, akamkazia macho Elima huyo mchawi,

Tazama sura Nakili




Matendo 13:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa kuwa si ninyi msemao, bali Roho ya Baba yenu asemae ndani yenu.


Akawakazia macho pande zote kwa ghadhabu, akiona huzuni kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao, akamwambia yule mtu. Nyosha mkono wako. Akaunyosha: mkono wake ukapona ukawa mzima kama wa pili:


Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.


Waliposikia wakasema, Mungu na apishe mbali. Akawakazia macho, akasema, Maana yake nini, bassi, neno hili lililoandikwa, Jiwe walilolikataa waashi Hili limekuwa jiwe kuu la pembeni?


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


Hatta walipokwisha kumwomba Mungu, pahali paie walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa uthabiti.


Ndipo Petro, akijaa Roho Mtakatifu, akawaambia,


Nae akijaa Roho Mtakatifu, akakaza macho yake, akitazama mbinguni, akauona utukufu wa Mungu, na Yesu akisimama mkono wa kuume wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo