Matendo 13:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Na walipokuwa katika Salamini wakalikhubiri neno la Bwana katika masunagogi ya Wayahudi, nao walikuwa nae Yohana kuwakhudumia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Walipofika Salami walihubiri neno la Mungu katika masunagogi ya Kiyahudi. Yohane alikuwa msaidizi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Walipofika Salami walihubiri neno la Mungu katika masunagogi ya Kiyahudi. Yohane alikuwa msaidizi wao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Walipofika Salami walihubiri neno la Mungu katika masunagogi ya Kiyahudi. Yohane alikuwa msaidizi wao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Walipowasili katika mji wa Salami, wakahubiri neno la Mungu katika sinagogi la Wayahudi. Pia walikuwa na Yohana Marko kama msaidizi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Walipowasili katika mji wa Salami, wakahubiri neno la Mungu katika sinagogi la Wayahudi. Pia walikuwa na Yohana Marko kuwa msaidizi wao. Tazama sura |