Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 13:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Hatta sabato ya pili, watu wengi, karibu mji wote, wakakusanyika walisikie neno la Mungu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Siku ya Sabato iliyofuata, karibu kila mtu katika ule mji alikuja kusikiliza neno la Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Sabato iliyofuata, karibu watu wote wa mji walikuja kusikiliza neno la Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 13:44
6 Marejeleo ya Msalaba  

Mji wote ukatoka kwenda kumlaki Yesu; walipomwona, wakamsihi aondoke mipakani mwao.


Lakini wao wakatoka Perga, wakapita kati ya inchi, wakafika Antiokia mji wa Pisidia, wakaingia katika sunagogi siku ya sabato, wakaketi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo