Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 13:40 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

40 Angalieni, bassi, isije khabari ile iliyonenwa katika manabii,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

40 Jihadharini basi, msije mkapatwa na yale yaliyosemwa na manabii:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

40 Jihadharini basi, msije mkapatwa na yale yaliyosemwa na manabii:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

40 Jihadharini basi, msije mkapatwa na yale yaliyosemwa na manabii:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

40 Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

40 Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate:

Tazama sura Nakili




Matendo 13:40
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambieni, nilipokuwa kwenu, ya kuwa hayana buddi kutimizwa yote niliyoandikiwa katika torati ya Musa, na katika manabii, na katika zaburi.


Imeandikwa katika manabii, Na wote watakuwa wamefundishwa na Mungu. Bassi killa aliyesikia na kujifunza kwa Baba, huja kwangu.


Na maneno ya manabii yapatana na bayo, kama ilivyoandikwa:


Bassi Mungu akaghairi, akawaacha, wakaliabudu jeshi la mbinguni, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha manabii, Je! mlinitolea dhabihu na sadaka Miaka arubaini katika jangwa, enyi nyumba ya Israeli?


Angalieni msimkatae yeye anenae. Maana ikiwa wale hawakuokoka waliomkataa yeye aliyewaonya juu ya inchi, sembuse sisi tukijiepusha nae atuonyae kutoka mbinguni:


sisi je! tutapataje kujiponya, tusipotunza wokofu mkiju namna hii? ambao kwanza ulinenwa na Bwana, kiisha nkathubutika kwetu na wale waliosikia;


Angalieni, ndugu zangu, usiwe katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutokuamini, kwa kujitenga na Mungu aliye hayi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo