Matendo 13:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192137 Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka wafu hakupata kuoza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Lakini yule ambaye Mungu alimfufua kutoka kwa wafu hakuona uharibifu. Tazama sura |