Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:35 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

35 Kwa hiyo na penginepo anena, Hutamwachia Mtakatifu wako kuona uharibifu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Naam, na katika sehemu nyingine za Zaburi asema: ‘Hutamwacha Mtakatifu wako aoze.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’

Tazama sura Nakili

Matendo 13:35
9 Marejeleo ya Msalaba  

Nae alikuwa amebashiriwa na Roho Mtakatifu ya kwamba haoni mauti kabla ya kumwona Kristo wa Bwana.

Amwaminiye Mwana ana uzima wa milele; na asiyemtii Mwana hataona uzima, hali ghadhabu ya Mungu inamkalia.

Amin, amin, nawaambieni, Mtu akilishika neno langu, hataona mauti kabisa hatta milele.

Kwa imani Enok alihamishwa, asije akaona mauti, wala hakuonekana, kwa sababu Mungu alimhamisha: maana kabla ya kuhamishwa kwake alikuwa ameshuhudiwa kwamba amempendeza Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo