Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:34 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

34 Tena ya kuwa alimfufua, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi, Nitakupa wewe mambo matakatifu ya Daud yaliyo amini.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Na juu ya kumfufua kutoka kwa wafu, asipate tena kurudi huko na kuoza, Mungu alisema hivi: ‘Nitakupa baraka takatifu na za kweli nilizomwahidia Daudi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’

Tazama sura Nakili

Matendo 13:34
18 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Mungu akamfufua:

kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwana wangu, mimi leo nimekuzaa.

Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu.

Mungu akamfufua, akilegeza utungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.

tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka hafi tena, mauti haimtawali tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo