Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili, Wewe ndiwe Mwana wangu, mimi leo nimekuzaa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 amelitimiza sasa kwa ajili yetu sisi wajukuu wao kwa kumfufua Yesu kutoka kwa wafu. Kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: ‘Wewe ni Mwanangu, mimi leo nimekuwa baba yako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 sasa ameyatimiza kwetu sisi, watoto wao, kwa kumfufua Isa, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuwa Baba yako.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 sasa ameyatimiza kwetu sisi watoto wao, kwa kumfufua Isa, kama ilivyoandikwa katika Zaburi ya pili: “ ‘Wewe ni Mwanangu; leo mimi nimekuzaa.’

Tazama sura Nakili

Matendo 13:33
10 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi alipofufuliwa katika wafu, wanafunzi wake wakakumbuka ya kuwa amenena neno hili, wakaliamini lile andiko na lile neno alilolinena Yesu.

Lakini Mungu akamfufua:

Tena ya kuwa alimfufua, asipate kurudia uharibifu, amenena hivi, Nitakupa wewe mambo matakatifu ya Daud yaliyo amini.

Bali huyu aliyefufuliwa na Mungu hakuona uharibifu.

Mungu akamfufua, akilegeza utungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.

Yesu huyo Mungu alimfufua, na sisi sote tu mashahidi wake.

Marra akamkhubiri Yesu katika masunagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.

Vivyo hivyo Kristo nae hakujitukuza nafsi yake kufanywa Kuhani mkuu, lakini yeye aliyenena nae: Mwana wangu ni wewe, Mimi leo nimekuzaa:

Tufuate:

Matangazo

Matangazo