Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Yohana alipokuwa amekwisha kuwakhubiri watu wote wa Israeli khabari za ubatizo wa toba, kabla ya kuja kwake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Kabla ya kuja kwake Yesu, Yohane alimtangulia akiwahubiria watu wote wa Israeli kwamba ni lazima watubu na kubatizwa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Kabla ya kuja kwa Isa, Yahya alihubiri toba na ubatizo kwa watu wote wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Matendo 13:24
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanzo wa injili ya Yesu Kristo, Mwana wa Mungu;

Na wewe nawe, Mtoto, utakwitwa nabii wake Aliye juu: Kwa maana utatangulia mbele ya uso wake Bwana ufanyize njia zake;

akianza tangu ubatizo wa Yohana, hatta siku ile alipochukuliwa kwetu kwenda juu, lazima mmoja wao afanywe shahidi wa kufufuka kwake pamoja nasi.

jambo lile mmelijua, lililoenea katika Yahudi yote likianzia Galilaya, haada ya ubatizo alioukhubiri Yohana;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo