Matendo 13:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Khatimae wakaomba kupewa mfalme; Mungu akawapa Saul mwana wa Kish, mtu wa kabila ya Benjamin, kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na Mungu akawapa Shauli, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na Mungu akawapa Shauli, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Hapo wakapendelea kuwa na mfalme, na Mungu akawapa Shauli, mtoto wa Kishi wa kabila la Benyamini, awe mfalme wao kwa muda wa miaka arubaini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Ndipo watu wakaomba wapewe mfalme, naye Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini, aliyetawala kwa miaka arobaini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Ndipo watu wakaomba wapewe mfalme, naye Mungu akawapa Sauli mwana wa Kishi wa kabila la Benyamini, aliyetawala kwa miaka arobaini. Tazama sura |