Matendo 13:20 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192120 Baada ya muda wa miaka aruba mia na khamsini, akawapa waamuzi hatta zamani za nabii Samwil. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Miaka 450 ilipita, halafu akawapatia waamuzi wawaongoze mpaka wakati wa nabii Samueli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Miaka 450 ilipita, halafu akawapatia waamuzi wawaongoze mpaka wakati wa nabii Samueli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Miaka 450 ilipita, halafu akawapatia waamuzi wawaongoze mpaka wakati wa nabii Samueli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Haya yote yalichukua kama muda wa miaka mia nne na hamsini. “Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi hadi wakati wa nabii Samweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Haya yote yalichukua kama muda wa miaka 450. “Baada ya haya, Mungu akawapa waamuzi mpaka wakati wa nabii Samweli. Tazama sura |