Matendo 13:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192119 Na alipokwisha kuwaharibu mataifa saba katika inchi ya Kanaan akawajia inchi yao iwe urithi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Aliyaangamiza mataifa saba ya nchi ya Kanaani akawapa hao watu wake ile nchi kuwa mali yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Aliyaangamiza mataifa saba ya nchi ya Kanaani akawapa hao watu wake ile nchi kuwa mali yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Aliyaangamiza mataifa saba ya nchi ya Kanaani akawapa hao watu wake ile nchi kuwa mali yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Naye baada ya kuyaangamiza mataifa saba yaliyokuwa yakiishi katika nchi ya Kanaani, akawapa Waisraeli nchi yao iwe urithi wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Naye baada ya kuyaangamiza mataifa saba waliokuwa wakiishi katika nchi ya Kanaani, akawapa Waisraeli nchi yao iwe urithi wao. Tazama sura |