Matendo 13:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Na panapo muda wa miaka arubaini akawaruzuku katika jangwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Aliwavumilia kwa muda wa miaka arubaini kule jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Kwa muda wa miaka arobaini alivumilia matendo yao walipokuwa jangwani. Tazama sura |