Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 13:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Mungu wa watu hawa Israeli aliwachagua baba zetu, akawatukuza watu, walipokuwa wakikaa kama wageni katika inchi ya Misri, na kwa mkono ulioinuliwa akawatoa, akawaongoza.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua babu zetu; aliwafanya watu hawa wawe taifa kubwa walipokuwa ugenini kule Misri. Mungu aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua babu zetu; aliwafanya watu hawa wawe taifa kubwa walipokuwa ugenini kule Misri. Mungu aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua babu zetu; aliwafanya watu hawa wawe taifa kubwa walipokuwa ugenini kule Misri. Mungu aliwatoa huko kwa uwezo wake mkuu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua baba zetu, akawafanya kustawi walipokuwa huko Misri, kwa uwezo mwingi akawaongoza na kuwatoa katika nchi ile.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Mungu wa watu hawa wa Israeli aliwachagua baba zetu, akawafanya kustawi walipokuwa huko Misri, kwa uwezo mwingi akawaongoza na kuwatoa katika nchi ile.

Tazama sura Nakili

Matendo 13:17
42 Marejeleo ya Msalaba  

Bali ninyi m mzao mteule, ukubani wa kifaume, taifa takatifu, watu wa milki, mpate kutangaza fadhili zake aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo