Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 12:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Na Barnaba na Saul, walipokwisha kuitimiza khuduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemi wakamchukua pamoja nao Yohana aitwae Marko.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Baada ya Barnaba na Saulo kutekeleza huduma yao, walitoka tena Yerusalemu, wakamchukua Yohane aitwaye pia Marko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Baada ya Barnaba na Saulo kutekeleza huduma yao, walitoka tena Yerusalemu, wakamchukua Yohane aitwaye pia Marko.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Baada ya Barnaba na Saulo kutekeleza huduma yao, walitoka tena Yerusalemu, wakamchukua Yohane aitwaye pia Marko.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Barnaba na Sauli walipomaliza ile huduma yao iliyowapeleka, wakarudi Yerusalemu wakiwa pamoja na Yohana aitwaye Marko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Barnaba na Sauli walipomaliza ile huduma yao iliyowapeleka, wakarudi Yerusalemu wakiwa pamoja na Yohana aitwaye Marko.

Tazama sura Nakili

Matendo 12:25
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mama yake Yohana, ambae jina lake la pili ni Marko; na wafu wengi wamekutana wakiomba.

Na Paolo na Barnaba wakakaa huko Antiokia, wakifundisiia na kulikhubiri neno la Bwana, pamoja na watu wengine wengi.

Barnaba akaazimu kumchukua Yohana aliyekwitwa Marko pamoja nao.

Na Yusuf, aliyeitwa na mitume Barnaba (tafsiri yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kupro,

Aristarko, aliyefumgwa pamoja nami, awasalimu, na Marko, mjomba wake Barnaba, amhae mmepokea maagizo kwa khabari yake; akifika kwenu mkaribisheni.

Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe; maana anifaa kwa kazi ya khuduma.

na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.

Bibi mteule, mwenzi wenu aliye katika Babeli, awasalimu, na Marko mwanangu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo