Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 12:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Marra malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu: akaliwa na funza, akatoa roho.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Papo hapo malaika wa Bwana akamwangusha Herode chini kwa sababu hakumpa Mungu hizo sifa. Akaliwa na wadudu, akafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Papo hapo malaika wa Bwana akamwangusha Herode chini kwa sababu hakumpa Mungu hizo sifa. Akaliwa na wadudu, akafa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Papo hapo malaika wa Bwana akamwangusha Herode chini kwa sababu hakumpa Mungu hizo sifa. Akaliwa na wadudu, akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Ghafula, kwa kuwa Herode hakumpa Mungu utukufu, malaika wa Mwenyezi Mungu akampiga, naye akaliwa na chango, akafa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Ghafula, kwa kuwa Herode hakumpa Mungu utukufu, malaika wa Mwenyezi Mungu akampiga, naye akaliwa na chango, akafa.

Tazama sura Nakili

Matendo 12:23
30 Marejeleo ya Msalaba  

Watu wakapiga kelele, wakinena, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwana Adamu.

lakini malaika wa Bwana akafungua milango ya gereza usiku, akawatoa, akasema,

yule mpingamizi, ajiinuae nafsi yake juu ya killa kiitwacho Mungu ama kuabudiwa; hatta yeye mwenyewe huketi katika hekalu la Mungu, kama Mungu, akijionyesha nafsi yake kana kwamba ndive Mungu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo