Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Watu wakapiga kelele, wakinena, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwana Adamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Wale watu walimpigia kelele za shangwe wakisema, “Hii ni sauti ya mungu, si ya mtu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Watu waliokuwa wamekusanyika wakapaza sauti, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Watu waliokuwa wamekusanyika wakapiga kelele, wakisema, “Hii si sauti ya mwanadamu, bali ni ya Mungu.”

Tazama sura Nakili




Matendo 12:22
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifaume, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa khotuba.


Marra malaika wa Bwana akampiga, kwa sababu hakumpa Mungu utukufu: akaliwa na funza, akatoa roho.


Watu hawa ni wenye kunungʼunika, wenye kulalamika, waendao kwa tamaa zao, na vinywa vyao vyanena maneno ya kiburi makuu mno, wakipendelea watu wenye cheo kwa ajili ya faida.


Wakamsujudu yule joka aliyempa nyama uwezo, wakamsujudu yule nyama, wakisema, Nani afananae na nyama? Nani awezae kufanya vita nae?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo