Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi siku moja iliyoazimiwa, Herode akajivika mavazi ya kifaume, akaketi katika kiti cha enzi, akatoa khotuba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode akiwa amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme, aliwahutubia watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode akiwa amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme, aliwahutubia watu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Siku moja iliyochaguliwa, Herode akiwa amevaa mavazi rasmi na kuketi katika kiti cha kifalme, aliwahutubia watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Katika siku iliyochaguliwa Herode Agripa akavaa mavazi yake ya kifalme, akaketi kwenye kiti chake cha utawala, akawahutubia watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Katika siku iliyochaguliwa Herode Agripa akavaa mavazi yake ya kifalme, akaketi kwenye kiti chake cha enzi na kuwahutubia watu.

Tazama sura Nakili




Matendo 12:21
10 Marejeleo ya Msalaba  

Na alipokuwa ameketi juu ya kiti cha hukumu, mkewe alimpelekea mjumbe, kumwambia, Usiwe na neno na yule mwenye haki: kwa sababu nimeteswa mengi leo katika udoto kwa ajili yake.


Nae Herode aliwakasirikia sana watu wa Tʼuro na Sidon: wakamwendea kwa nia moja, na wakiislia kufanya urafiki na Blasto, mwenye kukitunza chumba cha mfalme cha kulalia, wakataka amani; kwa maana inchi yao ilipata riziki kwa inchi ya mfalme.


Watu wakapiga kelele, wakinena, Ni sauti ya Mungu, si sauti ya mwana Adamu.


BAADA ya siku tano, Anania, kuhani mkuu, akatelemka na baadhi ya wazee pamoja nae, na msemi mmoja, Tertullo nao wakamweleza liwali khabari za Paolo.


Hatta assubuhi Agrippa akaja pamoja na Bereniki kwa fakhari nyingi, wakapaingia mahali pa kusikia maneno, pamoja na maakida na watu wakuu wa mji: Festo akatoa amri Paolo aletwe.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo