Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 12:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Wakanena, Ni malaika wake. Petro akafuliza kugonga; hatta walipokwislia kumfungulia wakamwona, wakastaajabu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Wakati huo Petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. Mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Wakati huo Petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. Mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Wakati huo Petro alikuwa anaendelea kupiga hodi. Mwishowe walifungua mlango, wakamwona, wakashangaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Lakini Petro aliendelea kugonga langoni, nao walipofungua lango na kumwona Petro, walistaajabu sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Lakini Petro aliendelea kugonga langoni, nao walipofungua lango na kumwona Petro, walistaajabu sana.

Tazama sura Nakili

Matendo 12:16
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na Petro alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Rhoda, akaja kusikiliza.

Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akakaza sana, akasema ya kwamba ndivyo bivyo.

Nae akawapungia mkono wanyamaze, akawaeleza jinsi Bwana alivyomtoa katika gereza. Akasema, Enendeni, mkampashe Yakobo na ndugu zetu khabari hizi. Akaondoka, akaenda mahali pengine.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo