Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Wakamwambia, Una wazimu. Lakini yeye akakaza sana, akasema ya kwamba ndivyo bivyo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Wakamwambia yule msichana, “Una wazimu!” Lakini yeye akasisitiza kwamba ilikuwa kweli. Nao wakamwambia, “Huyo ni malaika wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Wakamwambia yule msichana, “Una wazimu!” Lakini yeye akasisitiza kwamba ilikuwa kweli. Nao wakamwambia, “Huyo ni malaika wake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Wakamwambia yule msichana, “Una wazimu!” Lakini yeye akasisitiza kwamba ilikuwa kweli. Nao wakamwambia, “Huyo ni malaika wake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Wakamwambia yule mjakazi, “Umerukwa na akili.” Alipozidi kusisitiza kuwa ni kweli, wakasema, “Lazima awe ni malaika wake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Wakamwambia yule mtumishi wa kike, “Umerukwa na akili.” Alipozidi kusisitiza kuwa ni kweli, wakasema, “Lazima awe ni malaika wake.”

Tazama sura Nakili




Matendo 12:15
10 Marejeleo ya Msalaba  

Angalieni msidharau mmoja wa wadogo hawa; kwa maana nawaambieni ya kwamba malaika zao mbinguni siku zote wanamtazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.


Na hawa waliposikia kama yu hayi akaonwa nae, hawakusadiki.


Baadae akaonekana na wale edashara walipokuwa wakila, akawalaumu kwa kutoamini kwao na ugumu wa mioyo yao, kwa kuwa hawakuwasadiki waliomwona alipofufuka.


Hatta khalafu, kaciiri ya saa moja, mtu mwingine akahakikisha, akisema, Hakika na huyu alikuwa pamoja nae: kwa maana ni Mgalilaya.


Maneno yao yakaonekana kuwa ni upuzi kwao, wala hawakuwasadiki.


Wakanena, Ni malaika wake. Petro akafuliza kugonga; hatta walipokwislia kumfungulia wakamwona, wakastaajabu.


Alipokuwa akijitetea hivi, Festo akasema kwa sauti kuu, Paolo, una wazimu, kusoma kwako kwingi kumekugenza akili zako.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo