Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 12:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Alipoitambua sauti ya Petro, hakulifungua lango kwa furaha, bali alipiga mbio, akaingia ndani akawaambia kwamba Petro anasimama mbele ya lango.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Huyo msichana aliitambua sauti ya Petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba Petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Huyo msichana aliitambua sauti ya Petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba Petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Huyo msichana aliitambua sauti ya Petro akafurahi mno, hata badala ya kuufungua ule mlango, akakimbilia ndani na kuwaambia kwamba Petro alikuwa amesimama nje mlangoni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Alipoitambua sauti ya Petro, alifurahi mno akarudi bila kufungua lango, akapaza sauti, akasema, “Petro yuko langoni!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Alipoitambua sauti ya Petro, alifurahi mno akarudi bila kufungua na kuwaeleza kwamba, “Petro yuko langoni!”

Tazama sura Nakili

Matendo 12:14
3 Marejeleo ya Msalaba  

Na watu wa mahali pale walipomtambua, wakatuma watu kwenda inchi zile zote zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi;

Wakaondoka upesi kutoka kaburini, kwa khofu na furaha nyingi, wakaenda mbio kuwapasha wanafunzi wake khabari.

Bassi, wakiwa bado kuamini kwa furaha, wakitaajabu, akawaambia, Mna kitu cha kula hapa?

Tufuate:

Matangazo

Matangazo