Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Na Petro alipobisha kilango cha lango, kijakazi, jina lake Rhoda, akaja kusikiliza.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Petro alipiga hodi kwenye mlango wa nje na mtumishi mmoja msichana aitwaye Roda, akaenda mlangoni kuitikia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mjakazi aliyeitwa Roda akaja kumfungulia.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Petro alipobisha hodi kwenye lango la nje, mtumishi wa kike jina lake Roda, akaja kumfungulia.

Tazama sura Nakili




Matendo 12:13
4 Marejeleo ya Msalaba  

Alipotoka nje hatta ukumbini, mwanamke mwingine akamwona, akawaambia watu waliokuwa huko, Na huyu nae alikuwa pamoja na Yesu Mnazareti.


Tokea wakati ule atakapoondoka mwenye nyumba na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkinena, Bwana, Bwana! utufungulie; nae akajibu, akawaambieni, Siwajui mtokako;


Wakanena, Ni malaika wake. Petro akafuliza kugonga; hatta walipokwislia kumfungulia wakamwona, wakastaajabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo