Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Na alipokuwa akifikiri haya akafika nyumbani kwa Mariamu, mama yake Yohana, ambae jina lake la pili ni Marko; na wafu wengi wamekutana wakiomba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane aitwaye Marko. Humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane aitwaye Marko. Humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Alipotambua hivyo alikwenda moja kwa moja mpaka nyumbani kwa Maria mama yake Yohane aitwaye Marko. Humo watu wengi walikuwa wamekusanyika wakisali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Mara Petro alipotambua hili alienda nyumbani mwa Mariamu, mama yake Yohana aliyeitwa pia Marko, ambako watu wengi walikuwa wamekutana kwa maombi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Mara Petro alipotambua hili alikwenda nyumbani kwa Maria, mama yake Yohana aliyeitwa pia Marko, ambako watu wengi walikuwa wamekutana kwa maombi.

Tazama sura Nakili




Matendo 12:12
14 Marejeleo ya Msalaba  

Na Barnaba na Saul, walipokwisha kuitimiza khuduma yao, wakarejea kutoka Yerusalemi wakamchukua pamoja nao Yohana aitwae Marko.


Bassi Petro akalindwa gerezani, sala zikawa zinafanyika kwa juhudi sana na Kanisa mbele za Mungu kwa ajili yake.


Kiisha Paolo na wenziwe wakangʼoa nanga wakasafiri kutoka Pafo, wakafika Perga katika Pamfulia. Yohana akawaacha akarejea Yerusalemi.


Na walipokuwa katika Salamini wakalikhubiri neno la Bwana katika masunagogi ya Wayahudi, nao walikuwa nae Yohana kuwakhudumia.


Nao wakatoka gerezani wakaingia nyumbani mwa Ludia; na walipokwisha kuwaona ndugu wakawafariji, wakaenda zao.


Hatta walipofunguliwa, wakaenda kwa watu wao, wakawapasha khabari ya mambo yote waliyoambiwa na makuhani wakuu na wazee.


Aristarko, aliyefumgwa pamoja nami, awasalimu, na Marko, mjomba wake Barnaba, amhae mmepokea maagizo kwa khabari yake; akifika kwenu mkaribisheni.


Luka peke yake yupo hapa pamoja nami. Umtwae Marko, umlete pamoja nawe; maana anifaa kwa kazi ya khuduma.


na Marko, na Aristarko, na Dema, na Luka, watendao kazi pamoja nami.


Bibi mteule, mwenzi wenu aliye katika Babeli, awasalimu, na Marko mwanangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo