Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 12:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 PANAPO majira yaleytile Herode mfalme tw akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa Kanisa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Karibu wakati huohuo, mfalme Herode alianza kuwatesa baadhi ya Wakristo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini.

Tazama sura Nakili




Matendo 12:1
13 Marejeleo ya Msalaba  

WAKATI ule Herode tetrarka alisikia khabari za Yesu,


Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodias, mke wa Filipo ndugu yake.


Hatta panapo siku kuu ya kuzaliwa kwake Herode, binti Herodias alicheza kati ya watu, akampendeza Herode.


Wakati huo watawasaliti ninyi mpate kuteswa, na watawaua; na mtakuwa watu wa kuchukiwa na mataifa vote kwa ajili ya jina langu.


Killa siku nilipokuwa pamoja nanyi hekaluni hamkuninyoshea mikono; lakini saa yenu hii, na mamlaka ya giza.


Likumbukeni lile neno nililowaambieni, Mtumwa si mkubwa kuliko Bwana wake. Ikiwa waliniudhi mimi, watawaudhi ninyi nanyi: ikiwa walilishika neno langu, watalishika na lenu.


Watawaharamisha masunagogi: naam, saa inakuja, atakapodhani killa mtu awauae kuwa amtolea Mungu ibada.


Wakafanya hivyo, wakawapelekea wazee kwa mikono ya Barnaha na Saul.


Akamwua Yakobo ndugu wa Yohana kwa upauga.


ukinyosha mkono wako kuponya: ishara na maajabu zifanyike kwa jina la mtumishi wako mtakatifu Yesu.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo