Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Sauti ikanijibu marra ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najis.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Ile sauti ikasikika tena kutoka mbinguni: ‘Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Ile sauti ikasikika tena kutoka mbinguni: ‘Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Ile sauti ikasikika tena kutoka mbinguni: ‘Usiviite najisi vitu ambavyo Mungu amevitakasa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 “Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mungu alichokitakasa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 “Sauti ikasema kutoka mbinguni mara ya pili, ‘Usikiite najisi kitu chochote Mwenyezi Mungu alichokitakasa.’

Tazama sura Nakili




Matendo 11:9
9 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu hakimwingii moyoni, illa tumboni tu; kiisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.


Sauti ikamjia marra ya pili, Kilichotakaswa na Mungu, usikiite najis.


Akawaambia, Mnajua ya kuwa si halali mtu aliye Myahudi aongee na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, hikini Mungu amenionya, nisimwite mtu awae yote mchafu wala najis.


Jambo hili likatendeka marra tatu, kiisha vitu vyote vikavutwa juu tena mbinguni.


Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najis hakijaingia kinywani mwangu.


wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani.


kwa kuwa kimetakaswa kwa neno la Mungu na kuomba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo