Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

8 Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najis hakijaingia kinywani mwangu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Lakini mimi nikasema: ‘La, Bwana; maana chochote kilicho najisi au kichafu hakijapata kamwe kuingia kinywani mwangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Lakini mimi nikasema: ‘La, Bwana; maana chochote kilicho najisi au kichafu hakijapata kamwe kuingia kinywani mwangu.’

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Lakini mimi nikasema: ‘La, Bwana; maana chochote kilicho najisi au kichafu hakijapata kamwe kuingia kinywani mwangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 “Nikajibu, ‘La hasha, Bwana! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 “Nikajibu, ‘La hasha, Bwana Mwenyezi! Kitu chochote kilicho najisi hakijaingia kinywani mwangu.’

Tazama sura Nakili




Matendo 11:8
9 Marejeleo ya Msalaba  

wakaona baadhi ya wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najis, yaani, yasiyonawiwa, wakawalaumu.


Nikasikia sauti ikiniambia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.


Sauti ikanijibu marra ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najis.


Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najis asili yake, lakini kwake huyu akionae kitu kuwa najis, kwake huyo kitu kile ni najis.


Kwa maana yule mume asiyeamini hutakaswa kwa mkewe; na yule mke asiyeamini hutakaswa kwa mumewe; kama isingekuwa bivyo, watoto wenu wangekuwa si safi; bali sasa ni watakatifu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo