Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Barnabi tikatoka akaenda Tarso kumtafuta Saul: hatta alipokwisha kumwona akamleta Antiokia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kisha, Barnaba alikwenda Tarso kumtafuta Saulo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Kisha Barnaba akaenda Tarso kumtafuta Sauli,

Tazama sura Nakili




Matendo 11:25
6 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini Sila akaona vema kukaa huko.


Paolo akasema, Mimi ni mtu wa Kiyahudi, mtu wa Tarso, mji wa Kilikia, mwenyeji wa mji usio mnyonge. Nakuomba, nipe rukhusa niseme na wenyeji hawa.


Na Yusuf, aliyeitwa na mitume Barnaba (tafsiri yake, Mwana wa faraja), Mlawi, asili yake ni mtu wa Kupro,


Bwana akamwambia, Simama, enenda zako katika njia iitwayo Sawa, ukatafute ndani ya nyumba ya Yuda mtu jina lake Saul, wa Tarso: maana yuko anasali:


Barnaba akamtwaa, akampeleka kwa mitume, akawaeleza jinsi alivyomwona Bwana njiani, na ya kwamba alisema nae, na jinsi alivyokhubiri pasipo khofu katika Dameski kwa jina lake Yesu.


Lakini ndugu walipopata khabari wakamchukua hatta Kaisaria wakampeleka Tarso.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo