Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Maana alikuwa mtu mwema, amejaa Roho Mtakatifu na imani: watu wengi wakajitia upande wa Bwana.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Barnaba alikuwa mtu mwema na mwenye kujaa Roho Mtakatifu na imani. Kundi kubwa la watu lilivutwa kwa Bwana.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho wa Mungu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Barnaba alikuwa mtu mwema, aliyejaa Roho wa Mwenyezi Mungu, mwenye imani, nayo idadi kubwa ya watu wakaongezeka kwa Bwana Isa.

Tazama sura Nakili




Matendo 11:24
21 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa mema: na mtu mbaya katika hazina yake mbaya hutoa mabaya,


Akamwambia, Ya nini kuniita mwema? Hakuna mwema illa mmoja, ndiye Mungu. Lakini ukitaka kuingia katika nzima, zishike amri.


Akatoka mtu, jina lake Yusuf, nae ni mtu wa baraza yao, mtu mwema, mwenye haki


Kukawa manungʼuniko mengi katika makutano kwa khabari zake; wengine wakisema, Yu mtu mwema; na wengine wakisema, Sivyo, bali anawadanganya makutano.


Mkono wa Bwana ukawa pamoja nao: watu wengi wakaamini, wakamwelekea Bwana.


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


wakimsifu Mungu, na kuwapendeza wutu wote. Bwana akalizidisha kanisa killa siku kwa wale waliokuwa wakiokolewa.


Nami ninajizoeza katika neno hili kuwa na dhamiri isiyo na khatiya mbele ya Mungu na mbele ya watu.


waamini wakazidi kuja kwa Bwana, wengi, wanaume ha wanawake:


Bassi ndugu, chagueni watu saba miongoni mwenu, walioshuhudiwa kuwa wema, illi tuwaweke juu ya jambo hili:


Neno hili likapendeza machoni jia mkutano wote: wakamehagua Stefano, mtu aliyejaa imani na Roho Mtakatifu na Filipo, na Prokoro, na Nikanor, na Timoni, na Parmena, na Nikolao mwongofu wa Antiokia.


Na Stefano, akijaa imani na uwezo, alikuwa akifanya maajabu na ishara kubwa katika watu.


Bassi makanisa wakapata raha katika Yahudi yote na Galilaya na Samaria, wakajengewa, wakiendelea katika kicho cha Bwana, na faraja ya Roho Mtakatifu.


Lakini nimewaandikieni, ndugu zangu, kwa ujasiri zaidi katika sehemu za waraka huu kana kwamba nawakumbusheni, kwa neema ile niliyopewa na Mungu,


Kwa maana ni shidda mtu kufa kwa ajili ya mtu mwenye haki, illakini yawezekana mtu kuthubutu kufa kwa ajili ya mtu aliye mwema.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo