Matendo 11:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192118 Waliposikia maneno haya wakanyamaza, wakamtukuza Mungu, wakisema, Bassi, Mungu amewajalia mataifa nao toba liletalo uzima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu wapate uhai!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu wapate uhai!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Waliposikia hayo, waliacha ubishi, wakamtukuza Mungu wakisema, “Mungu amewapa watu wa mataifa mengine nafasi ya kutubu wapate uhai!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Waliposikia haya hawakuwa na lingine la kupinga. Nao wakamsifu Mungu, wakisema, “Basi, Mungu amewapa hata watu wa Mataifa toba iletayo uzima wa milele.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Waliposikia haya hawakuwa na la kupinga zaidi. Nao wakamwadhimisha Mungu wakisema, “Basi, Mwenyezi Mungu amewapa hata watu wa Mataifa toba iletayo uzima wa milele.” Tazama sura |