Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Na nilipoanza tu kuongea, Roho Mtakatifu aliwashukia kama alivyotushukia sisi pale awali.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 “Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 “Nami nilipoanza kusema, Roho wa Mwenyezi Mungu akashuka juu yao kama vile alivyotushukia sisi hapo mwanzo.

Tazama sura Nakili




Matendo 11:15
5 Marejeleo ya Msalaba  

Na Paolo, alipokwisba kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.


Hatta walipokwisha kumwomba Mungu, pahali paie walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa uthabiti.


Hatta Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yoppa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo