Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 11:11 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

11 Kumbe! marra hiyo watu watatu wakasimama mbele ya nyumba niliyokuwamo, waliotumwa kwangu kutoka Kaisaria.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Ghafla, watu watatu waliokuwa wametumwa kwangu kutoka Kaisarea waliwasili kwenye nyumba nilimokuwa nakaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Ghafla, watu watatu waliokuwa wametumwa kwangu kutoka Kaisarea waliwasili kwenye nyumba nilimokuwa nakaa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Ghafla, watu watatu waliokuwa wametumwa kwangu kutoka Kaisarea waliwasili kwenye nyumba nilimokuwa nakaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 “Wakati ule ule watu watatu, waliokuwa wametumwa kutoka Kaisaria waliwasili katika nyumba niliyokuwa nikikaa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 “Wakati ule ule watu watatu, waliokuwa wametumwa kutoka Kaisaria waliwasili katika nyumba niliyokuwa nikikaa.

Tazama sura Nakili

Matendo 11:11
7 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaenda pande za Kaisaria Filipi, akawauliza wanafunzi wake akinena, Watu huninena mimi, Mwana wa Adamu, kuwa nani?

Jambo hili likatendeka marra tatu, kiisha vitu vyote vikavutwa juu tena mbinguni.

Filipo akaonekana katika Azoto, na alipokuwa akipita akakhubiri Injili katika miji yote, hatta akafika Kaisaria.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo