Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 11:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Jambo hili likatendeka marra tatu, kiisha vitu vyote vikavutwa juu tena mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Jambo hilo lilifanyika mara tatu, na mwishowe vyote vilirudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Jambo hili lilitokea mara tatu, ndipo kile kitu kikavutwa tena mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Jambo hili lilitokea mara tatu, ndipo kile kitu kikavutwa tena mbinguni.

Tazama sura Nakili




Matendo 11:10
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamjibu, Je! uzima wako utauweka kwa ajili yangu? Amin, amin, nakuambia, Jogoo hatawika hatta utakapokuwa umenikana marra tatu.


Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Kumbe! marra hiyo watu watatu wakasimama mbele ya nyumba niliyokuwamo, waliotumwa kwangu kutoka Kaisaria.


Sauti ikanijibu marra ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najis.


Kwa ajili ya kitu hiki nalimsihi Bwaua marra tatu kinitoke.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo