Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 10:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Yeye ni mgeni wa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi; nyumba yake iko pwani; atakuambia yakupasayo kutenda.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Yeye yumo nyumbani kwa Simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Yeye yumo nyumbani kwa Simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Yeye yumo nyumbani kwa Simoni mtengenezaji wa ngozi ambaye nyumba yake iko karibu na bahari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Yeye anaishi na Simoni mtengenezaji ngozi ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Yeye anaishi na Simoni mtengenezaji ngozi ambaye nyumba yake iko kando ya bahari.”

Tazama sura Nakili

Matendo 10:6
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua khabari ya elimu hii kwamba yatoka kwa Mungu, au kwamba mimi nanena kwa nafsi yangu tu.

Bassi, tuma watu kwenda Yoppa, ukamwite Simon aitwae Petro, aje hapa; anakaa katika nyumha ya Simon, mtengenezaji wa ngozi, karibu ya pwani: nae akija atasema nawe.

Na yule malaika aliyesema nae akiisha kuondoka, Kornelio akaita watumishi wawili wa nyumba yake, na askari mmoja, mtu mtawa, katika wale waliomkhudumia daima:

Hatta Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yoppa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi.

Lakini simama, uingie mjini, utaambiwa yatakayokupasa kutenda.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo