Matendo 10:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19215 Bassi, peleka watu Yoppa, ukamwite Simon, aitwae Petro: Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Sasa, watume watu Yopa wakamwite mtu mmoja aitwaye Simoni, kwa jina lingine Petro. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja jina lake Simoni aitwaye Petro. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Sasa tuma watu waende Yafa wakamwite mtu mmoja, jina lake Simoni aitwaye Petro. Tazama sura |