Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 10:48 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

48 Akaamuru wabatizwe kwa Jina lake Yesu Kristo. Ndipo wakamsihi azidi kukaa siku kadha wa kadha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

48 Basi, akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo. Kisha wakamwomba akae nao kwa siku chache.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

48 Basi, akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo. Kisha wakamwomba akae nao kwa siku chache.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

48 Basi, akaamuru wabatizwe kwa jina la Yesu Kristo. Kisha wakamwomba akae nao kwa siku chache.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

48 Kwa hiyo akaamuru wabatizwe kwa jina la Isa Al-Masihi. Wakamsihi Petro akae nao kwa siku chache.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

48 Kwa hiyo akaamuru wabatizwe kwa jina la Isa Al-Masihi. Wakamsihi Petro akae nao kwa siku chache.

Tazama sura Nakili

Matendo 10:48
9 Marejeleo ya Msalaba  

(lakini Yesu mwenyewe hakuhatiza, hali wanafunzi wake),

Bassi wale Wasamaria walipomwendea walimsihi akae kwao; akakaa huko siku mbili.

Hatta alipokwisha kumbatiza, yeye na nyumba yake, akatusihi, akisema, Kama mmeniona kuwa mwaminifu kwa Bwana, ingieni nyumbani mwangu mkakae; akatushurutisha.

Waliposikia baya wakabatizwa katika jina la Bwana Yesu.

Petro akawaambia, Tubuni mkabatizwe killa mmoja kwa jina lake Yesu Kristo, mpate ondoleo la dhambi, nanyi mtapokea kipawa cha Roho Mtakatifu.

Lakini walimpomwamini Filipo, akizikhubiri khabari njema za ufalme wa Mungu, na jina lake Yesu Kristo, wakabatizwa, wanaume na wanawake.

kwa maana bado hajawashukia hatta mmoja wao, illa wamebatizwa tu kwa jina lake Bwana Yesu.

Maana ninyi nyote mliobatizwa na kuingizwa katika Kristo mmemvaa Kristo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo