Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:47 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

47 Ndipo Petro akajibu, Aweza mtu kuwakataza hawa maji, wasibatizwe, watu waliopokea Roho Mtakatifu vile vile kama sisi?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

47 “Watu hawa wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi wenyewe tulivyompokea. Je, kuna yeyote atakayeweza kuwazuia wasibatizwe kwa maji?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

47 “Watu hawa wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi wenyewe tulivyompokea. Je, kuna yeyote atakayeweza kuwazuia wasibatizwe kwa maji?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

47 “Watu hawa wamempokea Roho Mtakatifu kama sisi wenyewe tulivyompokea. Je, kuna yeyote atakayeweza kuwazuia wasibatizwe kwa maji?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

47 “Je, kuna mtu yeyote anayeweza kuzuia watu hawa wasibatizwe kwa maji? Wamempokea Roho Mtakatifu wa Mungu kama sisi tulivyompokea.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

47 “Je, kuna mtu yeyote anayeweza kuzuia watu hawa wasibatizwe kwa maji? Wamempokea Roho wa Mwenyezi Mungu kama sisi tulivyompokea.”

Tazama sura Nakili




Matendo 10:47
9 Marejeleo ya Msalaba  

Petro alipokuwa akisema maueno haya Roho Mtakatifu akawashukia wote waliosikia maneno yake.


Wote wakajazwa Roho Mtakatifu, wakaanza kusema kwa lugha mbalimbali, kama Roho alivyowajalia kutamka.


Lakini walimpomwamini Filipo, akizikhubiri khabari njema za ufalme wa Mungu, na jina lake Yesu Kristo, wakabatizwa, wanaume na wanawake.


Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji: yule tawashi akasema, Yanizuia nini nisibatizwe?


Kwa maana hapana tofanti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri wa kufaa watu wote wamwitiao;


Nae aliipokea dalili hii ya kutahiriwa, muhuri ya wema wa imani aliyokuwa nayo kabla asijatahiriwa; apate kuwa baba yao wote waaminio, ijapokuwa hawakutahiriwa, illi na wao pia wahesahiwe wema;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo