Matendo 10:46 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192146 Kwa maana waliwasikia wakisema kwa lugha, wakimwadhimisha Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 maana waliwasikia wakiongea kwa lugha mbalimbali wakimtukuza Mungu. Hapo Petro akasema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 maana waliwasikia wakiongea kwa lugha mbalimbali wakimtukuza Mungu. Hapo Petro akasema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 maana waliwasikia wakiongea kwa lugha mbalimbali wakimtukuza Mungu. Hapo Petro akasema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Kwa kuwa waliwasikia wakinena kwa lugha mpya na kumwadhimisha Mungu. Ndipo Petro akasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Kwa kuwa waliwasikia wakinena kwa lugha mpya na kumwadhimisha Mungu. Ndipo Petro akasema, Tazama sura |