Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:44 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

44 Petro alipokuwa akisema maueno haya Roho Mtakatifu akawashukia wote waliosikia maneno yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

44 Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

44 Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

44 Wakati Petro alipokuwa bado anasema maneno hayo, Roho Mtakatifu aliwashukia wote waliokuwa wanasikiliza ujumbe huo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

44 Petro alipokuwa akisema maneno haya, Roho Mtakatifu wa Mungu aliwashukia wote waliokuwa wakisikiliza ule ujumbe.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

44 Wakati Petro alikuwa akisema maneno haya, Roho wa Mwenyezi Mungu aliwashukia wote waliokuwa wakisikiliza ule ujumbe.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:44
7 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo Petro akajibu, Aweza mtu kuwakataza hawa maji, wasibatizwe, watu waliopokea Roho Mtakatifu vile vile kama sisi?


Ikawa nilipoanza kunena, Roho Mtakatifu akawashukia kama alivyotushukia sisi mwanzo.


Na Mungu, ajuae mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vilevile kama alivyotupa sisi;


Na Paolo, alipokwisba kuweka mikono yake juu yao, Roho Mtakatifu akaja juu yao wakaanza kunena kwa lugha, na kutabiri.


Hatta walipokwisha kumwomba Mungu, pahali paie walipokusanyika pakatikiswa, wote wakajaa Roho Mtakatifu, wakanena neno la Mungu kwa uthabiti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo