Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Kwa sababu hiyo naiikuja nilipoitwa nisikatae; hassi nauliza, ni neno gani mliloniitia?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: Kwa nini mmeniita?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Kwa sababu hiyo, mliponiita nimekuja bila kusita. Basi, nawaulizeni: kwa nini mmeniita?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Ndiyo sababu ulipotuma niitwe nilikuja bila kupinga lolote. Basi sasa naomba unieleze kwa nini umeniita?”

Tazama sura Nakili




Matendo 10:29
5 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Mnajua ya kuwa si halali mtu aliye Myahudi aongee na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, hikini Mungu amenionya, nisimwite mtu awae yote mchafu wala najis.


Kornelio akanena, Leo ni siku ya nne tangu nilijiokuwa nikifunga hatta saa hii: na saa tissa nalikuwa nikisali nyumbani mwangu: kumbe! mtu amesimama mbele yangu, mwenye nguo zingʼaazo, akasema,


bali mtakaseni Kristo Bwana mioyoni mwenu; mwe tayari siku zote kumjibu killa mtu akuulizae khabari za tumaini lililo ndani yenu; kwa upole na kwa khofu,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo