Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Na katika kusema nae akaingia, akaona watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Petro aliendelea kuongea na Kornelio wakiwa wanaingia nyumbani ambamo aliwakuta watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Petro alipokuwa akizungumza naye, akaingia ndani na kuwakuta watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Petro alipokuwa akizungumza naye akaingia ndani na kukuta watu wengi wamekusanyika.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:27
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nao wakawa wakizumgumza haya yote yaliyotukia.


Hamsemi ninyi, Imebaki miezi mine bado, ndipo yaja mavuno? Nami nawaambieni, Inueni macho yenu, mkayatazame mashamba, ya kuwa yamekwisha kuwa meupe tayari kwa mavuno.


Hatta siku ya pili yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, amekusanya jamaa zake na rafiki zake.


Hatta walipolika wakalikutanisha Kanisa, wakawaeleza mambo yote aliyoyafanya Mungu pamoja nao, na ya kwaruba amewafungulia mataifa mlango wa imani.


kwa maana nimefunguliwa mlango mkubwa wa kufaa sana, na wengi wako wanipingao.


Bassi nilipofika Troa kwa ajili ya Injili ya Kristo nikafunguliwa mlango katika Bwana,


mkituombea na sisi pia, Mungu atufungulie mlango kwa Neno lake tuinene siri ya Kristo, ambayo kwa ajili yake nimefungwa,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo