Matendo 10:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Petro akamwinua, akasema, Simama, mimi nami ni mwana Adamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini Petro alimwinua, akamwambia, “Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini Petro alimwinua, akamwambia, “Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini Petro alimwinua, akamwambia, “Simama, kwa maana mimi ni binadamu tu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini Petro akamwinua akamwambia, “Simama, mimi ni mwanadamu tu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini Petro akamwinua akamwambia, “Simama, mimi ni mwanadamu tu.” Tazama sura |