Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Petro alipokuwa akiingia, Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Petro alipokuwa anaingia, Kornelio alitoka nje kumlaki, akapiga magoti mbele yake na kuinama chini kabisa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni mwake kwa heshima.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Petro alipokuwa akiingia ndani, Kornelio alikuja kumlaki, akaanguka miguuni pake kwa heshima.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:25
7 Marejeleo ya Msalaba  

Nao waliokuwa ndani ya chombo wakamwendea, wakamsujudia, wakinena, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.


Akaja mwenye ukoma akamsujudu, akinena, Bwana, ukitaka, waweza kunitakasa.


Nikaanguka mbele ya miguu yake, nimsujudie, akaniambia, Angalia, usifanye hivi: mimi mjoli wako na mmoja wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudu Mungu: kwa maana ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo