Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

24 Hatta siku ya pili yake wakaingia Kaisaria. Na Kornelio alikuwa akiwangojea, amekusanya jamaa zake na rafiki zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Siku ya pili yake walifika Kaisarea na huko Kornelio alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Siku ya pili yake walifika Kaisarea na huko Kornelio alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Siku ya pili yake walifika Kaisarea na huko Kornelio alikuwa anawangojea pamoja na jamaa na marafiki aliokuwa amewaalika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Siku iliyofuata wakawasili Kaisaria. Kornelio alikuwa akiwangoja pamoja na jamaa na rafiki zake wa karibu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Siku iliyofuata wakawasili Kaisaria. Kornelio alikuwa akiwangoja pamoja na jamaa yake na marafiki zake wa karibu.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:24
14 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akaenda pande za Kaisaria Filipi, akawauliza wanafunzi wake akinena, Watu huninena mimi, Mwana wa Adamu, kuwa nani?


Nae Lawi akamfanyia karamu kubwa nyumbani mwake: na palikuwa na kundi kubwa la watoza ushuru, na watu wengine waliokuwa wameketi pamoja nao chakulani.


PALIKUWA na mtu Kaisaria, jina lake Kornelio, akida wa kikosi kilichoitwa Kiitaliano,


Na katika kusema nae akaingia, akaona watu wengi wamekusanyika.


Filipo akaonekana katika Azoto, na alipokuwa akipita akakhubiri Injili katika miji yote, hatta akafika Kaisaria.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo