Matendo 10:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192121 Petro akawashukia wale watu waliotumwa kwake na Kornelio, akanena, Mimi ndiye mnaemtaka. Mmekuja kwa sababu gani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Basi, Petro akateremka chini, akawaambia hao watu, “Mimi ndiye mnayemtafuta. Kwa nini mmekuja?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Basi, Petro akateremka chini, akawaambia hao watu, “Mimi ndiye mnayemtafuta. Kwa nini mmekuja?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Basi, Petro akateremka chini, akawaambia hao watu, “Mimi ndiye mnayemtafuta. Kwa nini mmekuja?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Petro akashuka na kuwaambia wale watu waliokuwa wametumwa kutoka kwa Kornelio, “Mimi ndiye mnayenitafuta. Mmekuja kwa sababu gani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Petro akashuka na kuwaambia wale watu waliokuwa wametumwa kutoka kwa Kornelio, “Mimi ndiye mnayenitafuta. Mmekuja kwa sababu gani?” Tazama sura |