Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Na Petro alikuwa akiyafikiri yale maono. Roho akamwambia, Wako watu watatu wanakutaka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Petro alikuwa bado anajaribu kuelewa yale maono, na hapo Roho akamwambia, “Sikiliza! Kuna watu watatu hapa, wanakutafuta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Petro alikuwa bado anajaribu kuelewa yale maono, na hapo Roho akamwambia, “Sikiliza! Kuna watu watatu hapa, wanakutafuta.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Petro alikuwa bado anajaribu kuelewa yale maono, na hapo Roho akamwambia, “Sikiliza! Kuna watu watatu hapa, wanakutafuta.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Wakati Petro akiwa anafikiria kuhusu yale maono, Roho wa Mungu akamwambia, “Simoni, kuna watu watatu wanaokutafuta.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Wakati Petro akiwa anafikiria juu ya yale maono, Roho wa Mwenyezi Mungu akamwambia, “Simoni, wako watu watatu wanaokutafuta.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:19
11 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini ajapo yeye, Roho ya kweli, atawaongozeni katika yote iliyo kweli: kwa maana hatasema kwa shauri lake yeye, lakini yote atakayosikia, atayasema, na mambo yajayo atawapasha khabari yake.


wakaita, wakauliza kwamba Simon aitwae Petro anakaa humo.


Akaona katika njozi wazi wazi, panapo saa tissa ya mchana, malaika wa Mungu akimjia na kumwambia, Kornelio!


Roho akaniambia nifuatane nao, nisione mashaka. Ndugu hawa sita nao wakaenda pamoja nami, tukaingia katika nyumba ya mtu yule:


Bassi hawa walipokuwa wakimkhudumia Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, Niwekeeni Barnaba na Saul kwa kazi ile niliyowaitia.


Na baada ya hoja nyingi Petro akasimama, akawaambia, Ndugu zangu, ninyi mnajua ya kuwa siku za kwanza Mungu alichagua miongoni mwetu mataifa walisikie neno la Injili kwa kinywa changu, na kuliamini.


Tukiisha kuwaona wanafunzi tukakaa huko siku saba, nao wakamwambia Paolo kwa uwezo wa Roho Mtakatifu asipande kwenda Yerusalemi.


Roho akamwambia Filipo, Sogea karibu na gari bili, ukashikamane nalo.


lakini kazi hizi zote huzitenda Roho huyo mmoja, yule yule, akimgawia killa mmoja peke yake kama apendavyo yeye.


ROHO yanena waziwazi ya kwamba nyakati za mwisho watu watajitenga na imani, wakisikiliza roho zidanganyazo, na mafundisho ya mashetani,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo