Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 10:18 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

18 wakaita, wakauliza kwamba Simon aitwae Petro anakaa humo.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 wakaita kwa sauti: “Je, kuna mgeni humu aitwaye Simoni Petro?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wakabisha hodi na kuuliza kama Simoni aliyeitwa Petro alikuwa anaishi hapo.

Tazama sura Nakili

Matendo 10:18
4 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta Petro alipokuwa akiona mashaka ndani ya nafsi yake, maana yake nini maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakiislia kuiulizia nyumba ya Simon, wakasimama mbele ya mlango,

Na Petro alikuwa akiyafikiri yale maono. Roho akamwambia, Wako watu watatu wanakutaka.

Kumbe! marra hiyo watu watatu wakasimama mbele ya nyumba niliyokuwamo, waliotumwa kwangu kutoka Kaisaria.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo